Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA (IKO YENYEWE KWENYE FENSI)
INA VYUMBA VITATU (MASTER 1), SEBULE, DINING NA JIKO. PIA NNJE KUNA CHUMBA CHENGINE NA STOO. NYUMBA NI KUBWA INA NAFASI YAKUTOSHA.
KODI: 300000 TU KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI 6.
LOCATION: PUGU KONA KAJIUNGENI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.