Nyumba inapangishwa Sakina, Arusha


NYUMBA INAPANGISHWA DODOMA ROAD UKIPITA SAKINA KWA IDD ARUSHA
NI NYUMBA UNAJITEGEMEA
NI nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina sebulee kubwa na dairning
Ina Public Toilet na bathroom.
Ina Jiko lenye makabati
Ina Heater System
Ina Parking
Sio mbali kutoka barabrani
Bei 400,000/= kwa mwez
Kodi ilipwe miez sitaa
Call 0758105801