Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







#KODI 200K MALIPO MIEZI X 6
APARTMENT KWENYE FENCI ZIPO (2)
LOCATION TABATA BONYOKWA STENDI UKISHUKA KWENYE DALADALA UNAPIGA TEKE GETI
SIFA ZAKE
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO LA INJE
TYRIES GPYSAMU
DILISHA ALUMINIAMU
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
PARKING SPACE KUBWA
PAVING BLOCK
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
KODI 200,000 MALIPO MIEZI X 6
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.20000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
SIMU
0712656027