Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA 200K X6 BILA KUPUNGUA
KODI LAKI MBILI MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA HII NZURI IPO TABATA SEGEREA VIWANJA VYA BANK KUTOKA LAMI DK5
SIFA ZAKE
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#JIKO
#FENI CHUMBANI NA SEBULE
#FULL A.C
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK SAFI GARDEN NZURI
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI UNAJITEGEMEA DAWASA PIA YANAFLOW NDANI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637