Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


(Apartments 2) Nyumba inapangishwa sh 250000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 ina vyumba 2 chumba kimojawapo master, sebule, jiko, public toilet,n.k
Gharama ya kupelekwa kuonyeshwa nyumba sh 15000, au pesa ya malipo ya dalali ya mwezi mmoja endapo ulipapo nyumba
Calls 0768682919
0653233641
Whatsapp 0768682919
0653233641
Tembelea kulasa zangu za Instagram, Facebook & tik tok, napatikana tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam Tanzania