Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 400,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA UBUNGO EXTRENAL AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI UKISHUKA UNATEMBEA DK 3
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET CHOO NA BAFU NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#JIPYSUM TAILZ SLAIDING WINDOW 🪟 ZINAWEKWA
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO PEVING BLOCK 🚫
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI