Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA 250K
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVER SIDE
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 5, 6
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA UNAWEZATENGA NA DINNING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
INA TILES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
IPO NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA MAZINGIRA MAZURI MNOO
UMBALI KM 2 KUTOKA MENROAD UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 KUPITIA UBUNGO KIBANGU UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 3 UPO NYUMBAN
SERVICE CHARGE ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0679447338