Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NI CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA KIZURI SANAA
====================
KIPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE
===================
KODI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MIWILI TU (2)
=================
BAADA YA HIYO MIEZI MIWILI KUISHA NDO UENDELEE NA UTARATIBU WA MWENYE NYUMBA
====================
CHUMBA KINA TILES GYPSUM ALUMINIUMS SAFI
===================
KIPO NDAN YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
==================
LUKU 2 NA NAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOONI
=================
UMBALI KM 1,8 KUTOKA UBUNGO RIVER SIDE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 NA UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN
=================
SERVICE CHARGE ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
===================
CONTACT
0679447338