Nyumba inapangishwa Uwanjani, Songwe


APARTMENT YA KISASA NAMASTE 
LOCATION:
KWA MSUGURI 
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 5 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA 
KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA 
JIKO ZURI LENYEMAKABATI 
PUBLIC TOILET NDANI 
IPO NDANI YA FENCE 
UWANJANI PAVING BLOCK 
UMEME LUKU YAKE 
MAJI YA BILI 
KODI 280,000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA 
PIGA CM 0674860193



















