Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KISASA NDANI YA FENCE INAUZWA // INAUZWA
NYUMBA NI NZURI SANA INA ENEO KUBWA INA NYUMBA VYA KULALA 3 , KIMOJA MASTER CHOO ZA PABLICK ZIKO 2 SEBLE DINNING JIKO NA STORE .
IPO NDANI YA FENSI PEVING SAFI .
BEI YAKE MILION 135 NYUMBA INA HATI ORIGINAL
KABISA YA WIZARA
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
.KUTOKA BARABARA YA ZEGE DAKIKA 5
PIGA SIMU:: 0672 673363 / 0763 219307



















