Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KALI SANA INAUZWA INA VYUMBA VYA KULALA 3 KIMOJA MASTER ,
CHOO YA PABLIC 2 , SEBLE, DIANING , JIKO NA STOO .
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI INA ENEO KUBWA SANA UNAWEZA KUJENGA NYUMBA KAMA HIO TENA
. FULL DOCOMENT NYUMBA INA HATI
VYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KWA MAMZAIRE KUTOKA KWENYE BARABARA YA ZEGE DAKIKA 5.
BEI MILIONI 175
MIA MOJA SABINI NA TANO.
SERVES CHARGE 20,000/=
===
Cont
0683234124
0718367179