Nyumba inauzwa Makumbusho, Dar Es Salaam


🏡 House for Sale – Makumbusho
📐 Plot Size: 372 Sqm
💰 Price: TZS 600,000,000 (Negotiable)
📍 Location: MAKUMBUSHO
🏡FULL TITLEDEED
Prime area, hot spot for investment
Property Highlights:
• Nyumba ipo kwenye eneo lenye mandhari mazuri, barabara ya lami.
• Jirani na makazi ya kisasa tayari yaliyopo eneo hilo.
• Unaweza kuendeleza nyumba ilivyo, ama kuivunja na kujenga mradi mpya (apartments, offices, commercial spaces n.k).
• Perfect location for investment – high demand & hot game zone.
Extra Info:
• Viewing fee: TZS 50,000
• Mawasiliano: 📱 0678512666