Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA
MAHALI MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI KM 3 KUTOKA MOROGORO ROAD
UKUBWA WA ENEO SQM 20x20(SQM400)
SIFA ZA NYUMBA
Vyumba V4 vya kulala kimojawapo master bedroom
Sebule
Dinning
Jiko
PUBLIC TOILET
MAJI NA UMEME UPO
NYUMBA IPO ndan ya FENS
BEI MILLION 30
SERVICES CHARGE 30000/=
☎️ #0757208653
#NB: NYUMBA HII HAINA NJIA YA GARI MITA KADHAA KUTOKA KWENYE NYUMBA LAKINI PIKIPIKI INAFIKA MPKA NDANI GETINI NDUGU MTEJA ZINGATIA HILO