Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
800,000/= Kwa hiyo Bei Unaiachaje Kwa Mfano hembu fanya kuwahi tumalizane
✔️Chumba Master kubwa
✔️Sebule Kubwa
✔️Jiko Kubwa
Public Toilet
HIZI NYUMBA FULL AC JAMANI
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
MBEZI BEACH
MAWASILIANO
📲0685 006223
📞0718 759287
Service charge 20,000/=