Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


BEI MILIONI 50 MAONGEZI YAPO
_______
NYUMBA INAUZWA
IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA KINYEREZI
KITUO KIFURU MWISHO
_______
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA KILOMITA 1 HADI KWENYE NYUMBA
_________
BODA BODA 1000
________
SIFA YA NYUMBA
IPO KWENYE FENSI
NYUMBA INAVYUMBA VYA KULALA VITATU 3 KIMOJA
MASTA
SEBULE DAININGI
JIKO
CHOO CHA PABILIKI
MAJI DAWASKO
UMEME UPO PIA
_________
PEMBENI KUNA VYUMBA VITATU AVIJAPAULIWA
HUMO HUMO NDANI YA FENSI
_________
UKUBWA ENEO SM 400
________
NYUMBA AINA MGOGORO
WOWOTE ANAYE UZA MUME NA MKE
________
0788156493 0614130017