Nyumba inauzwa Segerea, Dar Es Salaam







Nyumba MBILI zinauzwa Banana (njia panda segerea) wilaya ya Ilala Dar es salaam
πBEI MILION 99 (usiogope)
0759128747 0624436503
0712058357 whatsapp
Vyumba jumla ni 6
Nyumba kubwa v3 (kimoja masta kuubwa sana)
Siting jiko
Dining tailz jipsam
Ina leseni ya makazi
Gari moja hadi mjini
Eneo sqm 880 (makadilio)



















