Nyumba inauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba Inauzwa
๐Tabata / Stmarys shule
Sifa - nyumba kubwa Ina vyumba vinne vya kulala kimoja master jiko sebule dinning.
Sifa _nyumba ndogo ni chumba sebule choo jiko
Bei imeshuka mpaka mil67 Tu
Document umiliki [ pana offa ]
Kuja site kukagua 40k
Maisha kuwekeza
#dalalisoso