Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(200,000 ร 4,5,6) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ง๐๐ ๐๐ข๐ก๐
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200,000 ร 6
๐ฅ APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO(SOMA MAELEZO KWA UMAKINI)
#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
#SEBULE KUBWA
#CHO KIZURI NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PAVING
#CAR PARKING
๐๏ธAPARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU AU UKIPANDA BAJAJI SH 500 UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
๐ฐ BEI NI 200,000 ร 6
N. B *INAKUWA WAZI TAR 10/10/25 KUONA NA KULIPIA RUKSA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300