Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KWA SASA IPO WAZI
PIGA SIMU 0659336751 WSP 0786085637
LOCATION: KIMARA STOP OVER
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 10-15 KWA MGUU
BODA 1000
KODI 200,000X6
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE YA WASTANI JIKO KUBWA SANA
NDUGU MTEJA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SAFI NA BARABARA RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI YAKO PIA YANA FLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA