Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KIBACHELA (STUDIO) INAPANGISHWA BEI 250K
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
AIR=CONDITION
HAKUNA JIKO
HAKUNA SEBULE
HII NI MASTER BEDROOM KIKUBWA TUU
PARKING
GARDEN NZURI
LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
WANATAKIWA MABACHELA TUU
BEI NI 250,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 2 NA NUSU TUU
π«π« APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
ππNJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUPELEKWA KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 TUU
CONTACT ME: 0672 673363 / 0763 219307



















