Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(200,000X6)KIMARA KOROGWE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI NI 200 000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
.
.
NI APARTMENT NZURI IINAPANGISHWA 
.
IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI 
.
.
UMBALI WA KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO BAJAJI 500
.
.
SIFA ZAKE 
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE 
.
ZIPO APARTMENT 3 TU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN 
.
.
KUPELEKWA SITE ELF 15
.
.
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI SILAA PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
.
.
CONTACT 
0716223412
0683597453



















