Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥KODI YAKE 250K X3
ILIPWE LAKI MBILI NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MITATU NA KUENDELEA
SIFA ZA NYUMBA:-
#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
#SEBURE KUBWA
#PUBLIC TOILET SAFI YA NDANI..
#‼️HAKUNA MASTER‼️
#JIKO KUBWA SANA
#UMEME METER YAKE
#MAJI DAWASA METER YAKE NA MAJI YANAFLO NDANI.
#TILES, GIPSUM
#ALMINIUM
🏘️NYUMBA HII NI TWO IN ONE
MOJA IMESHAPATA MPANGAJI, HII MOJA NDIO IPO WAZI KWA SASA..
NYUMBA IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
NOTE:: NYUMBA HII HAINA FENCE, LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA NA KUNA MLINZI WA KAMPUNI ANALIPWA NA MWENYE NYUMBA .
BAJAJI. TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
🏘️🇹🇿KARIBU SANA
SIMU
0712656027