Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI KODI 150,000X6
#MASTER BERD ROOM KUBWA NA JIKO LAKE
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI NA JIKO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347