Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA NZURI SANA
NDANI YA FENCE
MASTER BEDROOM KUBWA & KITCHEN
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
HAPA ZIPO MBILI TUU 🏃🏻♂️🏃🏻♂️👇
💥 *KODI YAKE 180K X4//*
#MASTER BEDROOM KUBWA ''SINGLE''
#JIKO SAFI
#TILES
GIPSUM
ALMINIUM
UMEME METER YAKE
METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
🏘️APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
SERVICE CHARGE >> 15K
NOTE:: MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.



















