Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000 ร 6) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ฆ๐ง๐ข๐ฃ ๐ข๐ฉ๐๐ฅ
APARTMENT MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIMARA STOP OVER DK 7 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BARABARA SAFI YA ZEGE MBAKA GETINI UKANYAGI TOPE
CHUMBA KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
KUNA WI-FI
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
KODI 250,000 ร 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300



















