Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/09/2025
CHUMBA KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
CHOO KIZURI CHA NDANI
BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
INAJITEGEMEA UMEME
MAJI DAWASA NDANI
IPO KIMARA KOROGWE DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0716223412
0618976024