Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 160,000 x 3) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 4 ) KWENYE COMPSUND MOJA NDANI YA FENSI
UMBALI WA KILOMETA ( 2 ,5 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRII WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
CHUMBA SEBULE NA JIKO LA KISASA NA PUBLIC TOILET YA NDANI KWA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0765-494343
0683-387747