Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


New Apartment for Rent-
Master bedroom, sebule & jiko
📌 Nyumba ni mpya, ukilipia wanafanya finishing baada ya wiki unahamia
• Nyumba ipo karibu sana na lami
• Unajitegemea umeme & maji
• Fenced & parking ipo
💰 Bei: TZS 300k KWA MWEZI
📍 Mahali: KIMARA BARUTI
📅 MASHARTI YA MALIPO MIEZI 6
Huduma za Ziada:
• Service charge: TZS 20,000 (itadumu mpaka utakapopata nyumba)
• Gharama ya udalali: Kodi ya mwezi mmoja
Kwa mawasiliano zaidi:
📞 CONTACT
CALL/WHATSAPP..0714 418 005