Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#IMESHUKA BEI MPAKA 230K
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
Zipo 2 Kwenye Fence
Location; KIMARA STOP OVER
UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
BARABARA YA ZEGE UMBALI WA KM 1.2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BODA 1000 GETINI
KODI 230,000
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️CHUMBA MASTER KIKUBWA
✔️JIKO ZURI KUBWA
✔️PUBLIC TOILET NZUR YA NJE 🚻
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI 24HRS, RESERVE TANK
✔️PARKING SPACE KUBWA 🚗
✔️MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp