Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘
HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#JIKO ZURI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300