Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI ZAKISASA ZINAPANGISHWA
MPYA MPYA MPYA ????
🌟 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO( A)
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#LUKU METER YAKO NA MITA YA MAJI DAWASA BILL
KODI 150.000 ×6
💥(B)CHUMBA MASTER YA WASTANI
KODI 100,000×6
💫💫 APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 NA NJIA NI RAFIKI ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751
WSP 0786085637



















