Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment ya Chumba master Sebule na Jiko (200,000) #KIMARA_MWISHO
Apartment #mpyaaaaaaaaa
Kodi ni Tsh (200,000 x 5,6)
N APARTMENT MPYAA YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 3 ) TU KWENYE COMPOUND MOJA NDANI YA FENSI MOJA
UMBALI WA KILOMETA ( 2 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASI
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJI BUKU
DALADALA 500
CHUMBA MASTER
SEBULE
NA JIKO ZURI
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300