Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA SUKA
KODI:: 100,000X6
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 1,5
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA NA SEBULE
#CHOO CHA NJE
#MNASHEA WAWILI
UMEME PIA WAWILI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SAFI USALAMA UPO WAKUTOSHA
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI USAFIRI NI BAJAJI SH ELFU 1 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0785888413