Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI SANA IPO KIMARA TEMBONI UMBALI WA KILOMITA MOJA NA NUSU
BEI 150,000X6
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTA SEBULE KUBWA IPO NDANI YA FENSI USALAMA WA KUTOSHA ILA HAILAZI GARI
INAJITEGEMEA UMEME MITA YAKEE
USAFILI UPO MWINGI BAJAJI
MIA 700 BODA BUKU
LAKI MOJA NA NUSU KWA MWEZI ILIPWE MIEZ 6
MAJI YAPO DAWASCO