Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#HAKUNA JIKO
#LUKU SUBMITER
#MAJI SUBMITER
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA MAZINGIRA MAZURI SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
##0655256419