Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NAKULETEA APARTMENT KALI INAPANGISHWA 
LOCATION KIMARA STOP OVER 
KODI 150,000X6, au  180,000X3 
UMBALI KM 1 
USAFIRI BODA 1000
CHUMBA SEBULE NA JIKO LAKE TOILET PUBLIC YA NDAN
UNAJITEGEMEA UMEME MAJI SHEA 3 NA YANA FLOW NDANI 
ANGALIZO HII NYUMBA ANAITAJIKA MPANGAJI SINGO WA KIKE AU WAKIUME
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA.
NA IPO KWENYE FINISHING ZA MWISHO KUONA NA KULIPIA LUKSA 
KUPELEKWA KUONA CHUMBA SERVICE CHARGE 15,000 
NAUKIPENDA NYUMBA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0715949085



















