Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA BADO VITU VIDOGO TU
#SEBULE KUBWA SANA
#MASTER KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LINAWEKWA KABATI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI ILA SIO YA KULAZA GARI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA MLANGONI
Kodi 220,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.