Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam





APARTMENT ZINAUZWA ZIPO MBEZI KWAMSUGUR BEI MILIONI 👉 37 MAONGEZI YAPO
Zipo nne
Chumba master ziko 3
Chumba single ipo 1
Zote zina wapangaji
Izo Chumba master kodi ni 100,000/=
Iyo Chumba single kodi 60000
Makusanyo yamwezi kwazote 340000/=
Usafili bajaji sh. 700
Barabara
BEI MILIONI 👉 37
Sevchage 25000 kwenda Kuona Nyumba za kununua
Mawasiliano 0656623510
WSP 0752436347