Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(200,000X6)MBEZI KIBANDA CHA MKAA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#JIKO ZURI LIPO NJE
#PUBLIC TOILET IPO KWA NJE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453