Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 250k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MBEZI MWISHO NJIA YA GOBA
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Dakika 5 kwa Mguu kutoka Main Road
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Chumba Kikubwa cha Kulala Master Bedroom
• Jiko Kubwa
• Public Toilet ya Wageni
Apartment zipo 2 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 250,000 Malipo Miezi 4
𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
0715949085
0782838336