Nyumba/Apartment inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


👉🏛️ APARTMENT INAPANGISHWA CHUMBA NA SEBLE,JIKO NA CHOO KWA NNJEE,MAJI DAWASCO, PERVING BLOCK NA GARDEN.
👉🏦BEI LAKI MOJA NA ISHILINI (120,000/=) KWA MWENZI MKATABA MIEZI SITA 6.
👉☝️IPO PUGU SHULE YA MSINGI,PIA IPO JIRANI NA KITUO CHA TRENI YA MWENDO KASI YA MOROGORO.
0614130017
0788156493
0760053111