Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment for Rent zipo 2 tuu Moja ndio ipo wazi
Location Ubungo Riverside Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 200000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Chumba na Sebule Kubwa
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa yapo Nje Tank Lita 2000
No parking space
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565