Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISHWA
IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA KAMILI
SIFA ZAKE
########
CHUMBA MASTER NA SEBULE KUBWA
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW CHOON
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT