Kiwanja kinauzwa Bagamoyo, Mbeya


KIWANJA SQM.4,000, TSHS.70 MILIONI KAOLE,BAGAMOYO.
Hapa ni BAGSMOYO MJINI.
Umbali wa kilomita 500 tu kutoka BEACH.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
(Utarasmusha Mwenyewe)
Matumizi ni kwaajili ya Makazi.
Panafaa pia Makazi na Biashara
Hotel nk.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________mpg