Kiwanja kinauzwa Bagamoyo, Mbeya




🏡 Usikwame!
Fursa bado ipo Bagamoyo – Kiromo ni eneo zuri, tulivu na lenye mandhari ya kuvutia kwa makazi au uwekezaji. 🌴
👉 Nunua kiwanja chako leo kwa bei nafuu – 20,000/= kwa sqm!
OneRoof Real Estate tunakuhakikisha umiliki halali na hati kwa wakati.
📞 Piga simu: +255 653 988 825
📍 Ofisi zetu zipo Kigamboni, Mjimwema
#Bagamoyo #RealEstateTanzania #OneRoofRealEstate #WekezaLeo