Kiwanja kinauzwa Boma, Morogoro







BOMA LINAUZWA KIDUTANI
#unguja #zanzibar
BOMA lipo baada ya Barabara ya ndani
Umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Barabarani Kwarara Mita 500
Umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Barabarani Kisauni Bango la Msikiti 1.5Km
Vyumba 3 (Master 1) Sitting Room, Jiko, Public Toilet 
Shimo la choo ✅
Nafasi ya Fensi ya upande mmoja✅
Ukubwa wa kiwanja Ft 55x27
Bei Tsh 16,000,000/- Milioni kumi na sita
What’s App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake



















