Kiwanja kinauzwa Buguruni, Dar Es Salaam


Eneo linauzwa.
■■■■■■■■■■■ hili eneo linauzwa lipo Buguruni karibu na Matumbi linaukubwa wa Heka 19 linauza kwa kukata kila heka eneo lote limepimwa na lina Hati ya kisasa ya wizara ya ardhi kila Heka moja linauza Dolla 650,000.maongezi yapo kidogo kutoka barabara kubwa ya Mandela Road mpaka kwenye eneo ni mita 500 barabara yake ya kwenda huko kwenye eneo ni pana na mololi yanapisha bila shida yeyote
Kwa mawasiliano
Contact 0755 454 251
0715 423 267
0688 262 000
Service charge elf 50 kwenda sait