Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


KIWANJA CHENYE HATI, SQM.750, BUNJU/MKOANI,TSHS 45 MILIONI.
Kiwanja kizuri mno, KULIPA KWA AWAMU MBILI RUKSA (ILA DALALI TUNAMALIZANA)
Ni Kiwanja cha tatu kutoka Barabara inayokwenda Machimbo ya Zamani.
Umbali wa wastani wa kilomita 2.5 kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Huduma za Umeme na Maji jirani.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255 714 591 548
_____________rbGsn