Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


LIPA KWA AWAMU, HII NIYAKUMALIZIA, VYUMBA 3,TSHS.40 MILIONI, BUNJU A-MJIMPYA.
UPENDELO MAALUM NAWE UWE NA MAKAZI GMHARAKA.
Anza kulipa 20 Milioni,
Inayobaki umalizie kuilipa NDANI YA MIEZI SITA.
BAHATI ILIYOJE HII!.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.1,000.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10% (UNALIOA YOTE MWANZO)
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Vyumba 3 vya kulala (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.