Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam




BAGAMOYO FUKAYOSI*
Mradi upo b/moyo fukayosi, ukitokea dar es Salaam unapanda magari yanayoelekea bunju ukifika bunju B utapanda magari yanayo elekea Msata.
Utatelemka kituo cha Fukayosi senta.
Mradi upo upande wa kulia ukitokea dar es Salaam.
Umbali ni 1km kutokea barabarani.
Malipo ya cash 1,200,000/= ukubwa 20m kwa 25m (500 sqm)
Sqm 1= 2400/=
2400 x500= 1,200,000/=
Malipo ya Mkopo 1,500,000/=
Sqm 1 = 3000
3000x500=1,500,000
Malipo ya mkopo ni miez sita kila mwezi unalipa 250,000/=.
Ofisi zetu zipo manzese tip top opposite na JM Hotel.
Karbu tukuhudumie.